Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbona anaongea Heche tuMwenyekiti wa vijana chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Deogratius Mahinyila akiongea na wananchi wa Bukoba Mjini katika ziara yao ya chama ya "No reforms No Election"
View attachment 3328907
Wewe lazima ni miongoni mwa mahayawani, watumishi waaminifu wa mashetani.Huyu dogo naye nahoji ishu hizi mpuuzi sana
USSR
Dah! Huyu dogo nikifikiri baada ya kuchaguliwa akaenda kusoma ughaibuni. Kumbe yupo?Mwenyekiti wa vijana chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Deogratius Mahinyila akiongea na wananchi wa Bukoba Mjini katika ziara yao ya chama ya "No reforms No Election"
View attachment 3328907
Swali gumu sana hilo kwa mtu mwenye four ya mwisho.Mwenyekiti wa vijana chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Deogratius Mahinyila akiongea na wananchi wa Bukoba Mjini katika ziara yao ya chama ya "No reforms No Election"
View attachment 3328907