KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Msalimie sana shemeji yetu Malia Obama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀
Yuko Marekani ya Buza
Alishawahi kushika nafasi nyeti kwenye vyama vya siasa, CCM, CHADEMA & NCCR MAGEUZIHuyu mwamba alikuwa mzima kweli🤣🤣
View attachment 2789734Tumekumiss sana nduguzo. Hivi ukiwa Marekani ndio unaacha kabisa kutumia JF?
Msalimie sana shemeji yetu Malia Obama
Huyu mwamba alikuwa mzima kweli[emoji1787][emoji1787]
Kabla ya hapo alikuwa anajiita Don Nalimison!! Mara DJ Nalimison!!! Aisee huyu kiumbe alikuwa amevurugwa kichwani!!Tumemmis kwa kweli mwalimu,mara ya mwisho alibadili ID akawa anajiita civillian coin.
Hatari sanaCcm watachomwa na gesi
Si aliaga kwamba yu aenda ughaibuni kujitwalia jiko kwenye boma la Obama?Dah! Jamaa yangu sana huyu kiumbe. Sijui kafia wapi aisee. Mimi mwenyewe nilikuwa najiuliza sana.
Huyu jamaa alikuwa kichaa muda sanaView attachment 2789734Tumekumiss sana nduguzo. Hivi ukiwa Marekani ndio unaacha kabisa kutumia JF?
Msalimie sana shemeji yetu Malia Obama
Kabla ya hapo alikuwa anajiita Don Nalimison!! Mara DJ Nalimison!!! Aisee huyu kiumbe alikuwa amevurugwa kichwani!!
Fb alikua anasema ikulu wamemuweka magufuli feki, original niyeye. Hafu hapo anatukana matusi haswa kuelekea Tiss na ccm.
Sema jamaa antunza kumbukumbu balaa. Naona hata Ukitaka risiti zake za shule ya msingi anazo.
Ticha Og