Deogratius Rwayunga bado anatangaza

Deogratius Rwayunga bado anatangaza

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha habari nyepesi nyepesi Deogratius Rwayunga bado anatangaza?
 
ITV kipindi cha dakika 45 kila jumatatu saa tatu usiku utamuona hapo akihoji watu mbalimbali.
 
kwa msiba wa Bilionea wao pia ndiye alikuwa MC
 
Huyu braza anasauti ya kipekee hasa unampo msikilizaa nilikua na msikia tangia nikiwa mdogo akosoma tarifa habari ya saa saba mchana na zile za saa mbili... Nikiwa village.
Nafikiri bado yupoo maana hata juzi nimeisikia saauti yakwe kwenye msibaa...
 
Jamaa anasauti poa sana, kwa sasa ndie mkurugenzi wa radio one
 
Back
Top Bottom