Deogratus Kithama wa Nirvana EATV Karudi tena

Hivi hizi comment ni za kike au kiume, maana sijaelewa kabisa. Fashioooon mmmh
 
Hii ni habari mbaya sana kwangu!
Huwa napenda kumuona Lilian kamanzima basi roho yangu inasuuzika sana
Lili si yupo clouds au mimi ndio sielewi??
Deo yupo eatv

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Lol, tupo kwenye fashooooon hayo ya wapi tena???

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Huyu Mustafa Hasanali amepatwa na nini tena ? Ule ubonge umeisha kwa diet au yake mambo mengine ya duniani? Duuuuh!!!
Mbona kitambo sana Mustafa alifanyiwa sugery ya kuondolewa nyama na mafuta... ndio amekua hivyo alivyo.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Lili si yupo clouds au mimi ndio sielewi??
Deo yupo eatv

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Unachanganya mkuu kale ka clouds kana umbo Dogo Dogo Hivi k anaitwa Lilian nani sijui!
Huyu kamanzima alimpokea deo huu muda ambao alikuwa hayupo
 
Unachanganya mkuu kale ka clouds kana umbo Dogo Dogo Hivi k anaitwa Lilian nani sijui!
Huyu kamanzima alimpokea deo huu muda ambao alikuwa hayupo
Oooh thats right nimeelewa..... tangu Deo aache na mimi niliacha kuangalia Nirvana.... sasa nina sababu ya kurudi ila pole yako utamkosa Lilian. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
fashoooooon

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…