department ya BA in economics ya udsm

faraji yassin

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
243
Reaction score
24
jaman naomba msaada kwa yeyote anayeijua...? Coz nimeshatishwa apa mmmh mpaka nataka kuhama course
 
yan nimeambiwa kua department yao wanaroho mbya yan unaweza ukapata gpa ya 1.8 na hawaogopi kukupa 0/20 dah sasa adi m2 unaogopa asee
 
amna,we ukifuata wanachokufundisha utakamatwa wapi?kwan wote wanapata 0/20?mbna wengne wanafaulu?basi we kawe mmoja ya wanaofaulu
 
Cha msing cheki outline za course yako over
 
jaman naomba msaada kwa yeyote anayeijua...? Coz nimeshatishwa apa mmmh mpaka nataka kuhama course

nilipokuwa form 4 niliambiwa nenda college maana ECA ngumu mtu akifaulu ana principle tu.nilipokuwa primary nliambiwa secondary ni ngumu ukipata c we mwanaume,nilipo kuwa form 2 niliambiwa commerce,math,na book keeping ngumu na kupata A's haiwezekani mbona ikawezekana,nliambiwa economics hupati alama nzuri mbona haikuwa hivyo?,nnapoenda chuo naambiwa chuo test ya kwanza unapiga 1/20 lakn sisikilizi negatively bali ndo wananipa njia ya jinsi gan ya kufanya vitu ambavyo wenye tabia ya kukili kushindwa hawafanyi ili washinde,TAKE CARE.dont compare ur self with anyone in this world".vizuri maana wanatushauri jinsi gan ya kukabiliana na changamoto kabla ya kufika chuo.
 
Karibu sana.wenzio ndo tupo tunazima moto wa kwenda kukabiliana na supp zetu..ila we kama hupendi kuishi kwa stress na mpenda mauzo sana nakushauri uhamie kwa matozi wenzio kule bcom..
 
jaman naomba msaada kwa yeyote anayeijua...? Coz nimeshatishwa apa mmmh mpaka nataka kuhama course

brother angu alikuwa anapiga hiyo alikuwa kila akirudi likizo anatukana tukana walimu wa hiyo department. Mi nilikuwa simuelewi.
 
Karibu sana.wenzio ndo tupo tunazima moto wa kwenda kukabiliana na supp zetu..ila we kama hupendi kuishi kwa stress na mpenda mauzo sana nakushauri uhamie kwa matozi wenzio kule bcom..

bro nimeomba ushauri na co kuxema et matoz nan toz sasa dah bro unaonekana unapenda sana sifa asee
 
Karibu sana.wenzio ndo tupo tunazima moto wa kwenda kukabiliana na supp zetu..ila we kama hupendi kuishi kwa stress na mpenda mauzo sana nakushauri uhamie kwa matozi wenzio kule bcom..

brother angu alikuwa anapiga hiyo alikuwa kila akirudi likizo anatukana tukana walimu wa hiyo department. Mi nilikuwa simuelewi.

mwaka gani uo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…