department ya BA in economics ya udsm

Hamna ugumu wowote bwa mdogo koz ya kawaida sana

Mm nasoma pale watu matokeo ya kawaida tu tena department ya ecomics udism haina complication sana

We soma kwa bidii pindi utakapofika pale

Cha kuzingatia kuna coz moja hivi ya economics inaitwa EC 126
Semista ya pili inabidi uwemakin nayo si ngumu ila jamaa anaesimamia ndio mtataaa

Karibu udsm the home of intelectuals
 
Karibu sana.wenzio ndo tupo tunazima moto wa kwenda kukabiliana na supp zetu..ila we kama hupendi kuishi kwa stress na mpenda mauzo sana nakushauri uhamie kwa matozi wenzio kule bcom..

dah aisee bro nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri mungu akubariki
 
jaman naomba msaada kwa yeyote anayeijua...? Coz nimeshatishwa apa mmmh mpaka nataka kuhama course
Kinachokuogopesha ni nini?
Kama unajua unachokifanya na unajijua uwezo wako sioni ni kwa nini uogope. Sasa kama economics major inakutisha hivyo na umeanza kuogopa na yule mwenzio wa kule FoE ama Muhimbili nae si ndio angeingia uchizi mara 100?
Usiogope.
 
labda kwa sababu napenda uchumi na wala siogopi hesabu...BA in economics siiachi
 
Wakuu vipi bado mheshimiwa osoro yupo? Kama yupo, huyu mleta uzi ajipange. Msipe matumaini ya uwongo. Osoro kwa kugonga vichwa ni balaa.
 
Karibu sana.wenzio ndo tupo tunazima moto wa kwenda kukabiliana na supp zetu..ila we kama hupendi kuishi kwa stress na mpenda mauzo sana nakushauri uhamie kwa matozi wenzio kule bcom..

Wakuu vipi bado mheshimiwa osoro yupo? Kama yupo, huyu mleta uzi ajipange. Msipe matumaini ya uwongo. Osoro kwa kugonga vichwa ni balaa.

we nae upo tu kama viaz
 
yan nimeambiwa kua department yao wanaroho mbya yan unaweza ukapata gpa ya 1.8 na hawaogopi kukupa 0/20 dah sasa adi m2 unaogopa asee

sasa kama umepata 0 upewe nini? Acheni uzushi nyie....nimesoma course nne kwenye hiyo department hakuna kitu!! Ukifeli no ubwege wako tu!!
 
sasa kama umepata 0 upewe nini? Acheni uzushi nyie....nimesoma course nne kwenye hiyo department hakuna kitu!! Ukifeli no ubwege wako tu!!

poa bro kwa hyo bro we umechukua iyo course na kama umeichukua embu nakuomba unipe mchakato yake inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…