Departure Lounge Azam Marine Haziko Sawa

Departure Lounge Azam Marine Haziko Sawa

Adilinanduguze2

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
1,386
Reaction score
1,919
Wana JF
Jana nilitoka Dar to Znz na leo natoka Znz kuja Dar nikitumia boat za Azam
Boat ziko excellent, lakini departure lounge haziko sawa. both Dar na Zanzibar hakuna utaratibu mzuri
Kwa mfano kwa upande wa Dar yule dada anaefanya announcement anasistiza abiria wakae kwenye siti wasubiri maelekezo wakati siti zimeishajaa watu and almost nusu ya abiria wamesimama
Hii experience ya Duka la Kaya sio Pouwa kabisa
Wanachoweza kufanya ktk ulimwengu huu wa CCTV camera wanaweza wakafanya observation jinsi abiria wanavyominyana na kutafuta solution as a team. Monopoly ya soko isiwasahaulishe kujali wateja
 
Ipo zanzibar one ila anaipiga vita ile mbaya mimi nikienda zanzibar sipandi hizo wanajiona kama ile bahari ni ya kwao.
 
Back
Top Bottom