Mchezo wa jana kati ya wanaume na wanaolijua soka DEPORTIVO LA CORUNA na timu kubwa ya Brazil CORINTHIANS, imenyukwa mabao saba kwa sifuri.
Kama mnakumbuka 2014 wababe wa dunia GERMANY MASHINE walivyoinyuka brazili goli 7 kwa moja, ARGENTINA akapigwa moja kwenye fainali dakika za mwisho. Kisha mjerumani akabeba ndoo.
Zaidi cheki hapa wanaume walivyowalambisha matapishi watoto wa mother.