Depression inaniua

Usiniandame nikachukia nikachafua hali ya hewa halafu ukanisababishia BAN. Wakati humu ndio kazini kwangu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mtoto wa mama wewe ban hujazoea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tulia wenye Phd zetu za ban tuchafue hali ya hewa.!!
 

Hapa bila shaka atakua amenyamaza na anatabasamu. Ndio maana niliomba utoe neno la kitumishi.

Barikiwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…