Depression is real

Lucha sikutegemea iyo kauli itoke kwako mkuu
Hawa wa upande wa pili wengi kinacho wasumbua sana ni mapenzi, kaachwa/katelekezwa/kazalishwa na mtoto katelekezewa/kachelewa kuolewa asilimia kubwa wako huko, japo pia ni kweli ni mawazo yanayo watafuna sana ila chanzo ni mapenzi wengi wao
 
Sio kwamba ameikalia tu, kuna wengine wanapitia hali ngumu sio kwamba hawataki kulipa. Mfano mimi kuna mtu nimemkopesha sasa yapata zaidi ya miezi miwili yupo kitandani hajiwezi, huyo utasema ameikalia hela tu?
Huyo kweli unaweza mhurumia sasa Mimi ni tofauti jamaa namdai na nakutana nae Ila kila nikimwambia anilipe ni mwendo wa sound tu na Pesa sio kwamba hana Pesa anayo Ila ndio hivyo binadamu wengine sijui wameumbwaje,
 
Some of us are building our life from the scratch, no inheritance, no connection, no back up... May God strengthen us all.
 
Aisee pole sana, kwasasa huu uzi usingeuleta hapa, kwa sasa jf ni platform ya kipuuzi kama utataka ushauri hasa kwa nyie wanawake.
Hapa ni full ngono, si ajabu pm yako inasongwasongwa sasa hivi watu wakitaka uroda kwa kisingizio wakufariji.

Kwa mambo ya ushauri bora hata upost fesibuku sio jf kwa sasa.
 
2014 najiunga jf ilikuwa nzuri sana jf, ila sasa dah ni changamoto kwa kweli
 
Well said 👏👏
 
Afya ya akili inakuja pale mambo yanakwenda sivyo ulivyotarajia.
Sasa hapa ndo akili haitaki kukubali ,inatuma message za maumivu,kukata tamaa.Sasa ndo inabidi utumie akili ya ziada ili upambane kubaki sawa na kusema nothing is permanent, kwamba hili nalo litapita. Soma hiki kitabu kitakusaidia
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…