Depression is real

Vijana wengi tunapitia depression tumesoma lakini no Ajira hatuna mitaji /mtaji we are going through painful

Kila tunachogusa kizito tumepoteza shabaha hatuna inner peace


I believe this is right time Serikali iwape Hata mtaji vijana we starving . There's better day anymore na vijana waliopo chuo most of them are suffering deeply life without hope .
 
Afya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijana[emoji174][emoji30]
Uko sahihi lakin depression inakua ugonjwa baada ya kuchukuliwa kuwa ni ugonjwa au matatizo ya kiakili...miaka ya nyuma haukua ugonjwa na ndo maana haukudhuru watu kama sasa hv. nakupa mfano...kila mtu lazima ajisikie depressed pale ambapo mambo yake hayaendi jinsi anayotaka au yanavyotakiwa kwenda...lakin kizaz chetu tunatafuta solution kwenye digital platforms badala ya kuinteract ma watu in real life na kuwa social kama zaman...zaman watu walikua wanafeel depressed wanaamua kwenda kufanya kaz hata ngumu ili watoke kwenye hali ya waliyonayo, siku hiz tunatafuta kujickia vizur hata kama maisha yetu ni shit...tunataka dawa zitusaidie tujiskie vizur na sio kusolve tatizo linalosababisha depression...kuna professors wazuri sana duniani waliofanya kazi maisha yao yote juu ya afya ya akili ,nakushauri usikilize lectures za JORDAN PETERSON youtube itakusaidia zaid...ila nataka kukuambia kufeel depressed ni normal ugonjwa wa depression tunaundekeza kukwepa kudeal na uhalisia wa maisha yetu mabaya
 
Afya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijana💔😩
Kwa maandishi haya machache ngoja niseme yafuatayo:-
1. Akili yako inauwezo wa kufikiri kwa haraka na unajipata kama unaongea pekeyako (akili inaongea).
2. Hauna uwezo wa kuandika wala kusema wazi kile unacho kifikiri (kiwe kibaya ama kizuri).
3. Unachukia sana unapo kutana ama kusikia mtu/watu wanao ongea sana........
4. Haupendi kujichanganya na watu, na hata ikitokea mara nyingi unakua mkimya na kuwasikiliza kisha unamjaji kila mmoja kwa namna utakavyo muelewa wewe (lakini hausemi/huwaambii)
5. Wewe sio mtembezi/haupendi kuzurura bila sababu ya msingi, lakini unapokua ndani masikio yako yanakua makini sana kusikiliza kila kitu nje ya pale ulipo.
6. Unatabia ya ukimya, na hii imesababisha watu wakajidanganya na kusema kwamba wewe ni mpole.... kumbe ni tofauti kabisa.
 
Comment za mwanzo tu mtu anasema mtuanaenda kuliwa leo, mtu analiwa kimasikhara. Yani page nzima imejaa comments za hivyo tu.

Vijana wa kiume ni wa hovyo zaidi, JamiiForums imekumbwa na jinamizi la ngono.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Utanivunja mbavu mkuuuu
 
Afya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijana💔😩
depression inakwenda sambamba na maendeleo ya nchi,ukiona nchi flani watu wengi wana afya ya akili ujue nchi hiyo ina maendeleo makubwa{achana na nchi zenye vita kwa hizo watu wana matatizo hayo kwa sababu ya vita}ndio manake unaona ulaya au nchi za mangaribi ka USA raia wake wana mambo ya ajabu utakuta mtu amechora tatoo mwili mzima,wengine wameekea pini kuanzia kwenye vitovu,masikio mpaka kwenyee uume au uke,kama marekani ni jambo dogo tu mtu anaweza kuchukua bunduki akaenda kwenye shule ya watoto na kumimina risasi kama rmbo vile,akipelekwa kupimwa akili,ana atatizo,...ndio manake kuna nchi nyingi za ulaya zina wizara inayodili na mabo ya upweke pekee,,,pia imani kali za kidini nalo nitatizo,,,,kama yaliyotokea kenya kwa waikristo,na yanayotokea duniani kwa waislam wasio na wauelwa wanadanganywa wakajililipue waende mbinguni{cha ajabu ni kwamba anekwambia ujilipue,ukimwambia aende kujilipua yeye ata umpe dunia nzima haendi, nasema wana afya ya akili kwa sababu wakati mwingine wanawavizia waislam wenzao wakiwa msikitini na kujilipua na kufa wao na hao waumini}......zamani wakati nchi za kiafrika zilipokua nyuma kimaendeleo haya hayakuwepo na wenye matatizo ya akili walikuwa wakijulikana direct kwa muonekano wao [waliitwa vichaa} lakini siku izi baada ya kutoka kwenye ujamaa{ujamaa ni mpango wa MUNGU na kuingia kwenye ubepari{ubepari ni mpango wa shetani}.........mambo yamebadilika,unaweza kumkuta mtu amepiga sukti kali sana na anasukuma BENZ,,kumbe ni CHIZI.......asante kwa kusoma hili,,,bye
 
Hahaha, umenijuaje😢, kilaa kitu Unachosema ni kweli kabisa.
 
Ms eyes hamna namna tafuta jinsi ya ku-cope, jishughulishe sana ili usipate muda mwingi wa kukaa ovyo ovyo. Hata ukiwa idle jaribu ku-escape kupitia vitu kama movies, mziki n.k
Mimi nakumbuka nilivopunguza mda wa kukaa ovyo ovyo, depression ilipungua sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…