kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Presidency ni kitu kibaya sana, inategemea namna utakavyoishughulikia la sivyo utaharibikiwa. Mabinti zako wanasubiri kuona namna utakavyolishughulikia swala la dada yao aliyepata mimba akiwa shuleni ili nao wajue wafanye nini.
Bodi ya ligi itashindwa kushughulikia timu nyingine zitazogomea mechi kama Simba haitapewa adhabu nene.
Bodi ya ligi itashindwa kushughulikia timu nyingine zitazogomea mechi kama Simba haitapewa adhabu nene.