Derby tarehe 8,TFF leteni mwamuzi kutoka nje

Derby tarehe 8,TFF leteni mwamuzi kutoka nje

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
TFF hamna VAR,mnajua wazi waamuzi wetu wote wamegawanyika katika ushabiki wa timu hizi mbili za kariakoo,waamuzi wamekuwa wakitia aibu kuchezesha mechi hizi zinazoangaliwa na watu wengi nje ya nchi.
Kwa nini msilete mwamuzi kutoka nje?

Huyo aragija ni yanga na bahati mbaya hawaoni aibu kuubeba upande wanaoushabikia.Kibaya zaidi kunakuwepo na ahadi za pesa zilizoibwa serikalini kwa waamuzi kama hawa.
Kwa nini msilete mwamuzi kutoka nje ili kuondoa malalamiko na kuzuia hisia za hasira kutoka kwa mashabiki?

Hamjui mechi hizi zinaweza kuleta maafa makubwa mkijifanya vichwa ngumu kudhani watanzania watakuwa vile vile siku zote?

Mimi nawatahadharisha,kauli za viongozi wa yanga kulaumu waamuzi,huku wao wakiwatumia waamuzi kushinda kirahisi mechi zao ngumu,siku watakapobebwa tena kama ile mechi iliyopita,jiandaeni kudhibiti dhahama kubwa kutoka kwa mashabiki wenye hasira.
Mkishauriwa,muwe mnasikia

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini atoke nje? Kwani timu ukishinda inapata points 5? Hakuna Cha maana refa ni WA hapa hapa.
 
Mwamzi awe Mangungu
Line 1 awe Magoti
Line 2 awe Try again
Mwamzi wa mezani awe Mo Dewji
 
Back
Top Bottom