I AM NO ONE
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 389
- 576
pia inawezekana kuitwa ivoKiswahili kisicho rasmi, wote wanaweza kuitwa 'watoto wa nyumbani'.
Faru wewe ndio unaleta udini!Hawakawii kuweka neno la Kiarabu, sababu tu za kidini. Mfano ni neno mubashara, kulikuwa na haja gani ya kuchukua neno jipya kutoka kwenye lugha ya Kiarabu?
hahahaha dah sawaDebi.
Hutaki unaacha.
maneno mengine yamekopwa kutoka kwenye lugha tofautiHawakawii kuweka neno la Kiarabu, sababu tu za kidini. Mfano ni neno mubashara, kulikuwa na haja gani ya kuchukua neno jipya kutoka kwenye lugha ya Kiarabu?