Ipo wapi hio barua share hapa tuone wengine hatuna connectionWabongo mnapenda attention! Eti vyanzo vyako vya ndani, wakati libarua limeshatoka. Yaani we unasoma libarua huko unakimbia kujifanya vyanzo vyako vya ndani, ndani ya nini?
ipo wapi barua?Wabongo mnapenda attention! Eti vyanzo vyako vya ndani, wakati libarua limeshatoka. Yaani we unasoma libarua huko unakimbia kujifanya vyanzo vyako vya ndani, ndani ya nini?