Derby ya Kariakoo kupigwa tarehe 8 March

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Bodi ya ligi imepanga maboresho ya ratiba ya ligi kuu NBC, huku ikiipa Derby ya Kariakoo tarehe 8 March

Simba pia atarudiana na Azam tarehe 24 March katika Mzizima derby, huku Yanga wakirudiana na Azam tarehe 10 April

Usiku wa deni hauchelewi
Kumbuka Simba alipigwa ataingia kwenye record ya kufungwa mara 5 mfululizo na laZima afungiwe na Yanga

Binafsi nawapongeza bodi ya ligi kuipanga hii mechi mapema ili tujipigie my wetu Kwa Sasa alikuwa ameanza kupata ugonjwa wa chekelea unaomsumbua mno

Yanga bingwa
 
Mmeanza tena kujisifia wakati hujacheza bado matokeo ya football ni matatu
 
Ndio mechi yenu hiyo wakunja ngumi
 
Bodi ya ligi imepanga maboresho ya ratiba ya ligi kuu NBC, huku ikiipa Derby ya Kariakoo tarehe 8 March

Simba pia atarudiana na Azam tarehe 24 March katika Mzizima derby, huku Yanga wakirudiana na Azam tarehe 10 April

Usiku wa deni hauchelewi
Kumbuka Simba alipigwa ataingia kwenye record ya kufungwa mara 5 mfululizo na laZima afungiwe na Yanga

Binafsi nawapongeza bodi ya ligi kuipanga hii mechi mapema ili tujipigie my wetu Kwa Sasa alikuwa ameanza kupata ugonjwa wa chekelea unaomsumbua mno

Yanga bingwa
Hiki kichaka sasa imefika wakati tukiondoe sisi Simba.
 
Hii mechi inaweza ikawa na matokeo ya kushangaza sana.

Ngoja tusubiri March 8 sio mbali.
 
Back
Top Bottom