Dah ππ tafuta mwenyewe
JamaniLeo makolo watakacho kutana nachoView attachment 3583121
Mdada, hv una taarifa zozote kumhusu bantu lady?Jamani
Sasa ww unazungumzia goli lipi?Goli la kwanza tayaliiiπ₯π₯
Watu wacheze bhana
hahaa karibu tuzogoe mkuu.Aiseeeeh!
Huyo ni bibi yako ujueπππSizitaki mbichi hizi
Jebu jikaze hukoπ€¨π
Najua ndio maana nakushauri umtende vyema kama simba ambavyo kamtenda yanga kipindi cha kwanzaHuyo ni bibi yako ujueπππ
*NB: Wanaume hakuna kiba 100, ila tu unakutana na nani πGuys leo ni weekend, tutaenda kushuhudia baadaye derby ya Kariakoo na kuona magoli ya moto π₯
Kabla ya hiyo derby sasa, hebu tuzungumzie magoli ya kwa bed π
Kuna goli likifungwa unasahau kabisa kuwa mboga mboga bado wapo sana mpa ripoti ile unasahau kabisa yoooooo ni fire π₯ π
Ni derby gani ulikutana nayo ukasema hapa umechezwa mpira mkubwa? π
NB: Wanaume hakuna kiba 100, ila tu unakutana na nani π
Wanaume wengi hawana shida ya nguvu za kiume, shida ni kitete tu au mazingira sio mazuri.
Ni weekend yooooβ¦ chill, relax, enjoy π
Kesho kazi na dawa
Kutafuta mkateπ
Dad mi sitaki bhnaπ«’π*NB: Wanaume hakuna kiba 100, ila tu unakutana na nani π
Wanaume wengi hawana shida ya nguvu za kiume, shida ni kitete tu au mazingira sio mazuri.*π€£π€£π€£π€£
kuyaaaminaaππππLeo makolo watakacho kutana nachoView attachment 3583121
Usinitajie mambo ya simba na yanga, najua umefurahi!!πNajua ndio maana nakushauri umtende vyema kama simba ambavyo kamtenda yanga kipindi cha kwanza
Nimefurahi mpka nimefika kilele cha kwanza ila naogopa π’Usinitajie mambo ya simba na yanga, najua umefurahi!!π
Achana na mimi....Nimefurahi mpka nimefika kilele cha kwanza ila naogopa π’
Simba nao sio wa kuwa amini π
Tayali mmochoa dah furaha ya masikini haidumu ππAchana na mimi....
Endelea kufurahi sasaπ π π
Nimekaribia mkuu.hahaa karibu tuzogoe mkuu.
Eti umesema?Wanisaidie tu nishachoka bwanaππ