Yanga alipigwa ndani &nje na Rivers united sababu ilikuwa timu bado haijawa na muunganiko mzuri. Pia makocha huwa na ugumu kupanga first 11 kukiwa na usajili wa idadi kubwa ya wachezaji. Hebu jaribu kupitia pitia Makala mbalimbali za soka utanielewa ninachokisema.