Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ni kweli ukisemachoMambo ni mengi...aulizwe shida ni nn maana kuna matajiri wengine wanaweza kuwa sababu ya Jambo kama hili.
au anyongwe afe kabisaHuyu ni muuaji. Apigwe marufuku kuendesha gari miaka 20.
Tupunguze ushabiki wa kijinga ni bora hiyo kazi ife tu kuliko kuwa na dereva wa aina hii. Angesababisha ajali na kuua watu wasio na hatia jeHuku ni kuharibiana kazi