Dereva anahitajika Dar es Salaam, malipo ni makubaliano

mooslam

Member
Joined
Dec 30, 2022
Posts
10
Reaction score
9
Habari za leo, kuna rafiki yangu anahitaji dereva atakayekuwa analipwa kwa siku,au kwa week, maana ana mgeni wake ambaye anakuja week ijayo, hivyo anatakiwa awe anamuendesha, root ni za hapa hapa dar es salaam, ikizidi sana Bagamoyo.

Dereva awe flexible yani kufanya kazi asubuhi, muda mwingine usiku kidogo inategemeana na root itakavyokuwa.
Ambaye yuko tayari anitumie namba inbox.

Malipo ni makubaliano. Gari ni automatic
 
Jambo jema hili
 
Kwa muda gani?
Kwa muda mgeni atakao kuwepo,maana anaondoka tar za mwanzo mwezi wa saba,
Lakini pia tutakuwa tukimuita kwa kazi zinapokuwa zinatokea.kama kufanya delivery au kumuendesha mtu.
 
Habari za leo, kuna rafiki yangu anahitaji dereva atakayekuwa analipwa kwa siku,au kwa week, maana ana mgeni wake ambaye anakuja week ijayo, hivyo anatakiwa awe anamuendesha, root ni za hapa hapa dar es salaam, ikizidi sana Bagamoyo.

Dereva awe flexible yani kufanya kazi asubuhi, muda mwingine usiku kidogo inategemeana na root itakavyokuwa.
Ambaye yuko tayari anitumie namba inbox.

Malipo ni makubaliano. Gari ni automatic

ROOT ndo nini?
 
Naweza hii kazi kiongozi.
Naishi hapa hapa Dar
0738232390
 
Ndugu zangu na wa shukuruni sana,kwa ushirikiano ,maombi yalikuwa mengi,lakini alhamdulillah amepatikana humu humu,na tayari tunafanya nae kazi.
 
Ukipata job nyingine tushitue ,huku kitaa ni jangwa
 
Aliyepata ajitokeze, kuna tamthilia sana humu😂😂😂akijitokeza nampa laki.
 
Back
Top Bottom