Jambo jema hiliHabari za leo, kuna rafiki yangu anahitaji dereva atakayekuwa analipwa kwa siku,au kwa week, maana ana mgeni wake ambaye anakuja week ijayo, hivyo anatakiwa awe anamuendesha, root ni za hapa hapa dar es salaam, ikizidi sana Bagamoyo.
Dereva awe flexible yani kufanya kazi asubuhi, muda mwingine usiku kidogo inategemeana na root itakavyokuwa.
Ambaye yuko tayari anitumie namba inbox.
Malipo ni makubaliano. Gari ni automatic
Kwa muda mgeni atakao kuwepo,maana anaondoka tar za mwanzo mwezi wa saba,Kwa muda gani?
Habari za leo, kuna rafiki yangu anahitaji dereva atakayekuwa analipwa kwa siku,au kwa week, maana ana mgeni wake ambaye anakuja week ijayo, hivyo anatakiwa awe anamuendesha, root ni za hapa hapa dar es salaam, ikizidi sana Bagamoyo.
Dereva awe flexible yani kufanya kazi asubuhi, muda mwingine usiku kidogo inategemeana na root itakavyokuwa.
Ambaye yuko tayari anitumie namba inbox.
Malipo ni makubaliano. Gari ni automatic
Naweza hii kazi kiongozi.Habari za leo, kuna rafiki yangu anahitaji dereva atakayekuwa analipwa kwa siku,au kwa week, maana ana mgeni wake ambaye anakuja week ijayo, hivyo anatakiwa awe anamuendesha, root ni za hapa hapa dar es salaam, ikizidi sana Bagamoyo.
Dereva awe flexible yani kufanya kazi asubuhi, muda mwingine usiku kidogo inategemeana na root itakavyokuwa.
Ambaye yuko tayari anitumie namba inbox.
Malipo ni makubaliano. Gari ni automatic
DaahNdugu zangu na wa shukuruni sana,kwa ushirikiano ,maombi yalikuwa mengi,lakini alhamdulillah amepatikana humu humu,na tayari tunafanya nae kazi.
Ukipata job nyingine tushitue ,huku kitaa ni jangwaNdugu zangu na wa shukuruni sana,kwa ushirikiano ,maombi yalikuwa mengi,lakini alhamdulillah amepatikana humu humu,na tayari tunafanya nae kazi.