Dereva anahitajika

Joined
Nov 17, 2011
Posts
40
Reaction score
7
Anahitajika dereva kwa ajili ya kuendesha gari/pikipiki na shughuli zingine za ofisi.
Ofisi husika ipo Dar es Salaam na ni ya kidini kwa imani ya ki-Kristo.
Baadhi ya sifa za Mwombaji;
1. Awe na leseni ya udereva - inayomruhusu kuendesha magari (siyo lazima mabasi/malori) na pikipiki.
2. Awe mzoefu/anaufahamu vizuri mji wa Dar es Salaam na mitaa yake
3. Awe na Elimu angalau kidato cha nne na cheti cha ufundi wa magari.
4. Awe anaweza kuongea na kuandika kiswahili na kiingereza vizuri.

Kwa mwenye nia anaweza kuni PM tutawasiliana zaidi.

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…