Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhh,niliwahi kuweka post humu kuwatafuta sikuona hata mmoja.
Haya hembu weka wazi,maana naona umekuwa kama Sigara kali,hujulikani mwanzo au mwisho.
Weka aina ya Gari na hesabu yako kwa wiki.Siku hizi hakuna anaepokea kwa siku wala Mwezi.
taja hiyo hesabu yako upewe gari,maelewano yatakuja baada ya wewe kutaja hesabu ya wiki?
kaka nimeona wewe una gari ndio maana nikaona nkuunganishe na driver ambaye kweli nakuhakikishia ni mwaminifu na atakupatia hela yako mtakayopatana na kama kutakua na ziada atakupatia kwa jinsi alivyoluwa mwaminifu. Ni kaka yangu kikristo licha ya utofauti wa kikabila. Ameniendeshea gari langu nikaletwa hela kwa kipindi chote nimekuwa naye lakini nikaamua kuliuza ili ninunue mini bus. Kaka huyu ukimtaka yupo.
120,000/=(laki na ishirini)