Dereva anatafuta Gari hesabu kwa siku/wiki/mwezi

Muislaam

Senior Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
129
Reaction score
43
Habari wana Jf, mimi ni Dereva wa magari madogo! nihitaji gari kwa ajili ya shughuli ndogondogo! kwa wenye nayo!
mawasiliano yangu ni 0714306015 au 0759601820 natanguliza shukrani!!
 
Duhh,niliwahi kuweka post humu kuwatafuta sikuona hata mmoja.

Haya hembu weka wazi,maana naona umekuwa kama Sigara kali,hujulikani mwanzo au mwisho.
Weka aina ya Gari na hesabu yako kwa wiki.Siku hizi hakuna anaepokea kwa siku wala Mwezi.
 
suzuki arry 4wd, pik up au nyingine yoyote yenye trela kwa wiki maelewano tuu mkuu!!
 
Taja hiyo hesabu yako upewe gari,maelewano yatakuja baada ya wewe kutaja hesabu ya wiki?
 
Huo udereva wako mmmh
Ngoja waje wenye magari yao.
 
Duhh,niliwahi kuweka post humu kuwatafuta sikuona hata mmoja.

Haya hembu weka wazi,maana naona umekuwa kama Sigara kali,hujulikani mwanzo au mwisho.
Weka aina ya Gari na hesabu yako kwa wiki.Siku hizi hakuna anaepokea kwa siku wala Mwezi.

hahahaha....
 
taja hiyo hesabu yako upewe gari,maelewano yatakuja baada ya wewe kutaja hesabu ya wiki?

kaka nimeona wewe una gari ndio maana nikaona nkuunganishe na driver ambaye kweli nakuhakikishia ni mwaminifu na atakupatia hela yako mtakayopatana na kama kutakua na ziada atakupatia kwa jinsi alivyoluwa mwaminifu. Ni kaka yangu kikristo licha ya utofauti wa kikabila. Ameniendeshea gari langu nikaletwa hela kwa kipindi chote nimekuwa naye lakini nikaamua kuliuza ili ninunue mini bus. Kaka huyu ukimtaka yupo.
 

Nipigie 0713 466428 tuongee
 
120,000/=(laki na ishirini)

Kweli we mzoefu,ni kweli kwa wiki kwa Carry ni 120,000 kwa hesabu ya 20,000 kwa siku ambapo siku moja ya wiki madereva wengi mmeamua kujigawia ili nanyie mle Bata na kufanya siku sita
Vipi Suala la Mdhamini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…