Dereva bodaboda

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Leo nimepanda toyo sasa kila saa na sema huu ubani unanukia wapi?kila saa kumbe ni dereca bodaboda kauwasha kaweka hapo mbele ilo bidii nimwambie simama nilicheka mpaka nikaishiwa nguvu hadi bodaboda hii nikali eti anafukuza majini.
Halafu huwa anajisikia raha akiuwasha.
 
Hivi ubani huwa kazi yake haswa ni nini,maana kuna imani nyngi juu ya ubani wengine kuita majini,wengine hutumia katika ibada zao sasa huyo naye et anafukuza majini au anayakaribisha? Mi nikajua labda kuleta harufu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…