Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo inategemea hapo walikuwa kwenye barabara ya nchi gani maana hayo magari yanaonekana hayako Tanzania. Naogopa kutuhutu gari wakati sijajua ni barabara ya nchi gani hiyo
Crap…..Hizi mada peleka facebook
Kwanza kabla ya kujibu swali, wanatumia upande upi kupita(left au right)?
Sawa sawaUnaweza ukawa sahihi ila sheria za barabarani zinafanana karibu nchi zote tofauti huenda ni ndogo tu kama hasa nchi karibu zote zilizotawaliwa na muingereza wao ndiyo gari zao usukani upo kulia.na uendeshaji wao uingereza wapo kama tz.kwenye sheria sasa hapo ya kuipita gari cha kwanza anayetaka kumpita mwenzake ahakikishe hakuna alama inayokataza kumpita mwenzake.cha pili unapotaka kumpita mwenzako mstari ulionyooka haukatazi kumpita mwenzako ila unakataza kupitwa huo mstari namaanisha kitende cha kuivuka gari nyengine mpaka uende nje ya mstari huo ni makosa.tatu kama upo mstari ule ambao umekatwa katwa unaruhusiwa kumpita ndiyo ila kabla ya kufanya kitendo hicho unatakiwa wewe kama dereva uhakikishe mambo haya kwanza kwa ajili ya usalama cha kwanza gari unayotaka kuipita isiwe nayo inataka kufanya kitendo cha kuipita gari nyengine, jengine gari yako inapotaka kufanya kitendo hiki kuokoa muda uongeze mwendo kwa maana iwe na mwendo zaidi ya ile unayoipita vinginevyo hutaweza kukamilisha kitendo cha kuipita.jengine la kuhakikisha kitendo hiko kikiwa barabara ambayo ni single kwa maana gari moja inakwenda nyengine inarudi hakitakiwi kufanyika kwenye kona au kwenye kupandisha mlima.ila kumpita mwenzako kwenye kona siyo vibaya kama njia inaruhusu kwa maana imegawanywa na kile kipande kama ukuta kati na njia ziwe nne kwa maana gari mbili zinakwenda kati kuna kaukuta kale upande mwengine gari mbili zinarudi.tukirudi kwenye hii picha hawa wote wana makosa ila kosa kubwa hapa ni la huyu ambaye amempita mwenzake hali ya kuwa kule mbele kuna gari zinafanya kitendo anachokifanya yeye japo kisheria wapo sahihi ila kiusalama hawapo sahihi kwa vile hawajui mwendo wa gari za mbele yao,Huyu kampita mwenzake kaenda nje ya mstari ni kosa kubwa mnoo ambalo linaweza kumgharimu leseni yake kama itatokea ajali akapona.Mwisho kabisa wengi wanajua kuendesha gari ila wanaojua sheria za barabarani ni wachache ajali nyingi hutokea kwa kuvunjwa sheria za barabarani ukiacha vyombo vyenyewe kuwa vibovu.mtu utamsikia hakukuwa na alama fulani ya barabarani, kama umesomea sheria hilo walaa kuna mataa ya barabarani inajulikana mataa kama hayafanyi kazi nani wa kwanza apite nani anafuatia ila kama ni haki yako ya kupita na haukupewa njia unatakiwa utumie busara kwa sababu imetokea ajali ukafa sasa haki yako utaipata? Tuendeshe kwa makini barabarani [emoji120][emoji120]