Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
...inategemea na unapokwenda.
kama njia haina road blocks, Speed limit wala diversions,...utajichelewesha na nini? ...moto bati, spidi 120 hata kwenye kona!....hakuna cha speed governor hapo!...ila ni bora kwa safari hizo ukishafika, unaiacha kwenye silence kusubiria abiria ashuke!
ndoo maana nachukia via simu
nilikuwa naukosa huu utamu mmhh
very nice
...umeupenda? ha ha, ...it's a dedication to my soulmate.
:Huyo dereva hafai na hasipojirekebisha wenzake watamsaidia kuipigia masafa marefu halafu aishie kujipiga risasi bure.Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
Nafikiri dereva anajua udhaifu wa uendeshaji wake ndio maana anali warm up kwa mda mrefu ili akianza kwa speed 240 tayari kafika kilimanjaro kwa dk 7
Ndiyo maana mnaambiwa mkachukue madereva NIT.
Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
Huyo dereva hana leseni inaelekea ni deiwaka tuuu, wenye leseni kabla ya kuwarm kwanza tunacheki tairi kwanza zina presha ya kutosha? tunafungua boneti tunacheki maji kwenye rejeta yapo ya kutosha? tunapima oil ipo? baada ya hapo saasa unaelekea ndani ya gari taraaatibuu unawasha kuli warm unasikiliza mlio ni wa kawaida? baadaye unakanyaga krachi yako kuona gia inaingia sawasawa unasikilizia kama kuna miguno isiyo ya kawaida au mlio ni wenye kushangilia zoezi zima then unaweka gia namba moja huku ukisilizia nguvu ya engine ikilisukuma gari mbele kwa madaha na wewe unatathmini jinsi ya kuongeza mwendo pale unapoona engine inakubali/inajibu mapigo ya pistone, ukiona inakubali unaongeza kukanyaga crachi huku ukiingiza gia namba mbili na mlio wa gari utausikia ukibadirika ukipanda juu zaidi, speed nayo inaongezeka. kama barabara ni nyoofu gia namba tatu inahitajika hapo utaona mlio unakuwa constant lkn speed baba si mchezo mara utasikia nashuka nashuka! hapo utajua sasa safari imefikia mwisho, unashika breki na kupangua gia zako gari liko hoooooooooooooi. i wish ningekuwa dereva wako uone quelified dereva!
Mmh we hatari
mmmh hizo gari za ku-warm dakika 35 nafikiri zitakuwa ni dizaini ya 'pijo' zile za zamani maana ilikuwa inabidi uzi-warm mpaka uone exhaust pipe inatoa maji ndo unaanza safari,hizi gari za karne hii ni very sophisticated,huhitaji kui-warm,unawasha gari safari inaanza