Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Hii pia mpya basi tu dereva anajifanya mjuaji tena anajisifia Kama madereva wachache sana wanao warm gari kwa muda mrefu.
Ukiona dereva anajisifia sana kabla ya safari ujue huyo si dereva ni deiwaka tuu hachelei kuleta visingizio safarini na kuliacha gari barabarani!!
Kama safari ni ya dakika saba kwa nini aendeshe zaidi ya hapo?
Ulijuaje tena anadai ukiendesha sana gari inchakaa na kuisha thamani ndio maana anaendesha kidogox2
Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
Mbu, ukifika unabakia silence? wakati unakuwa ushachoka na safari umesinyaa na upepo wa barabara?...inategemea na unapokwenda.
kama njia haina road blocks, Speed limit wala diversions,...utajichelewesha na nini? ...moto bati, spidi 120 hata kwenye kona!....hakuna cha speed governor hapo!...ila ni bora kwa safari hizo ukishafika, unaiacha kwenye silence kusubiria abiria ashuke!
kwa nini haumo Kingcobra?Mmmhhhh, mimi simo!
Babu Lao utajuaje dereva anaendesha vibaya au vizuri bila ya kuendeshwa kwanza?Hawa wandugu wanaleta habari za madereva wa mwembeni humu si kila anayeweza kubadilisha gia ni dereva udereva hauangaliwi usoni.... chukueni madereva wenye ujuzi na kuipenda kazi yao!!!
Hahaha! Gaga hujatulia weye yaani unataka Babu aendeshwe ?Babu Lao utajuaje dereva anaendesha vibaya au vizuri bila ya kuendeshwa kwanza?
Hapana yeye anasema mtu asichukue dereva asojua kuendesha vizuri. ndio nikamwambia huwezi jua dereva mzuri mpaka akuendesha kwanza au nimekosea Uporoto01 babe!!!Hahaha! Gaga hujatulia weye yaani unataka Babu aendeshwe ?
...inategemea na unapokwenda.
kama njia haina road blocks, Speed limit wala diversions,...utajichelewesha na nini? ...moto bati, spidi 120 hata kwenye kona!....hakuna cha speed governor hapo!...ila ni bora kwa safari hizo ukishafika, unaiacha kwenye silence kusubiria abiria ashuke!
Haijalishi muda wa safari, inategemea je gari limefika mwisho wa safari? Gari likisimamishwa kabla ya kituo chake ni kero na pia likipitilizwa kituo kwa umbali mrefu sana pia ni kero vile vile.
Mbu, ukifika unabakia silence? wakati unakuwa ushachoka na safari umesinyaa na upepo wa barabara?
Duh aksante
Mbu nimeipenda hiyo ya kusubiri abirai ashuke ndo azime gari loh..........................sio dereva ashuke amsaidie abiria kushuka?