Dereva Huyu mmhhh!!

Halafu abiria wengi dereva akizima tu gari na wao ndio wanaanza kushuka sijui inasababisha na nini very rare wanafungua mlango kwa pamoja na kushuka wote, mi napenda tushuke wote kwa pamoja

inaelekea jana gari imepata dereva mpya.

am sorry dereva wa awali kaachishwa kazi au kaona gari halililpi akajiondokea?

inaelekea jana gari imepata dereva mpya.

am sorry dereva wa awali kaachishwa kazi au kaona gari halililpi akajiondokea?

mmmh!kazi kweli kweli,
gari used, dereva used............patamu hapo!!!!!

Magari nayo yanatofautiana, mengine hiyo warm up tu linamaliza mafuta, hata kwenda halitaki. Mengine hata kama uta-warm up for 2 hrs, bado utaendesha kwa 3 hrs. Lakini kinachohitajika ni kutokuwa mabubu wakati wa kuanza mwendo, "sung'umsa" mshauri asiondoke kwa kasi. Tatizo ni kwamba anaondoka na gia kubwa, mshauri kuondoka na 1, nenda 2, 3............gari likikolea anaweza kurudi tena 1 na kuendelea 2,3,.....hivyo hivyo mpaka atakaposikia gari linalalamika.

na yale yanayo miss miss kila dk moja lol

Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?

Iyo GARI ni ya MANUAL au AUTOMATIC?

Iyo GARI ni ya MANUAL au AUTOMATIC?
Weeee manual atawahi wapi, hii ni automatic tuu, manual inahimili vishindo vya hapa na pale, hata kigoma kwenda na kurudi bila kupumzika inaweza

Halafu abiria wengi dereva akizima tu gari na wao ndio wanaanza kushuka sijui inasababisha na nini very rare wanafungua mlango kwa pamoja na kushuka wote, mi napenda tushuke wote kwa pamoja

Jamani gaga,magari mengine,
milango yote ni mibovu kasoro mlango wa upande wa dereva tu,
Hivyo gari likisimama, abiria hawezi shuka mpaka dereva ashuke kwanza!!!!!!!!!

ha ha ha haaaaaaaaaaaaaa!!!! utu uzima bana ............... kwaeriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii cku njema

Weeee manual atawahi wapi, hii ni automatic tuu, manual inahimili vishindo vya hapa na pale, hata kigoma kwenda na kurudi bila kupumzika inaweza

Hahahaha we gaga wacha mambo zako!

Jamani gaga,magari mengine,
milango yote ni mibovu kasoro mlango wa upande wa dereva tu,
Hivyo gari likisimama, abiria hawezi shuka mpaka dereva ashuke kwanza!!!!!!!!!
Hilo combi basi

Dereva wangu jamani, lol huyu dereva ni mtaalam hatar, anaweza kuendesha kuanzia starlet mpaka semi trailler tatu, na napenda tukifika lazima ahakikishe nashuka mahali pa usalama, gari ikipanda mlima anatumia gia namba mbili tu na akishuka kabla yangu garini atahakikisha anashuka kwa umahiri na kuja nifungulia mlango nami nishuke, na gari ikizima kabisa ikabakia mlango mmoja tu wa kutokea atahakikisha ananishusha na kunibeba mgongoni mpaka nifike napokwenda, kwa kweli dereva ninae mwenzenu khaaaaaa!

BB......Semi tellar ni lile linalokaa nyuma eh?

Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?

Labda gari lenyewe halikuwa tayari kuanza safari....! Lakini wewe mwenyewe ulijaribu kumjulisha kuwa sasa "Come On"?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…