Dereva Huyu mmhhh!!

MMh sasa kama betri iko down si lazima ufanye warming ya kutosha?
 
Napenda dereva wangu anavoniendesha na gari yake kama vile imekatika centre bolt, yaani fujo tafrani lakini safari tunafika wote salama na kushuka wote
 
Hiyo sawa na driver wa kuovertake gari au mbili moja kwa speed ya kuua mtu then sekunde chache unaingia kulia/au kushoto mbele kidogo unapack.

crazy and stupid driving!
 
Hapana yeye anasema mtu asichukue dereva asojua kuendesha vizuri. ndio nikamwambia huwezi jua dereva mzuri mpaka akuendesha kwanza au nimekosea Uporoto01 babe!!!
Sweety nimeelewa sasa.
 
Napenda dereva wangu anavoniendesha na gari yake kama vile imekatika centre bolt, yaani fujo tafrani lakini safari tunafika wote salama na kushuka wote

Hata kama anaendesha kwa rafu nyingi,
basi uzuri afuate tu ile principle ya, ''dont drink and drive, drive responsibly''
 
duh... hii kali...

sababu zaweza kuwa nyingi ati
gari linakoza mno kiasi kwamba safari chapchap
gari halina mvuto inabidi afike kimawazo tu yaishe
gari halipati moto upesi, choke imekula milleage
dereva hayuko sirias
dereva ni wale wa fululu-fululu
gari halina hata taa moja inayoonyesha hali yake mf. injini oil, lubricants wala taa za hassards
dereva muonevu
dereva ana matatizo ya macho
gari halina road licence
dereva hana leseni
... the list goes on
 

dah, haya magari haya lol.....?
BTW:Nimekumbuka bito yangu ya zamani lol......
 
dah, haya magari haya lol.....?
BTW:Nimekumbuka bito yangu ya zamani lol......
utamu wa bittle ni size na ile injini kuwa nyuma mazee... haina kelele wala nini, tartiiibu hadi kufika
 
Reactions: Mbu
Maandalizi marefu kwangu namaanisha tayari safari inaanzia hapo hapo, ukiingia barabarani heavy duty speed kama zipo, abiria lazima waombe speed governor, in 2 min tarai inachemsha gari, mpaka 5min kiama kimeonekana plus 2 min excess mbona gari litaomba mapumziko marefu?

Usianzie barabarani speed kaka, mwanzo wa kupima maji na oil two linawashwa....ukiwa unacheki cheki matairi kama yana upepo, body l;ake kama halijakwaruzwa kwaruzwa unyesha unalijari...Vigezo kuzingatiwa hapa.
 
Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?

kama gari ni bovu, dereva kukata kona mpaka ang'ate meno coz of usukani mgumu na wenye
kutu, then lazima akatishe safari kwani gari halina ushirikiano.
 
Hawa wandugu wanaleta habari za madereva wa mwembeni humu si kila anayeweza kubadilisha gia ni dereva udereva hauangaliwi usoni.... chukueni madereva wenye ujuzi na kuipenda kazi yao!!!

Babu Lao utajuaje dereva anaendesha vibaya au vizuri bila ya kuendeshwa kwanza?

Test ni ya muhimu sana ili kujua dereva unayemtaka kama anavigezo stahiki, na kama hakupita kwenye test basi huna haja ya kulaumu.... una assume as if hujawahi mpa test!!
 
Yaani hata ugumu wa kuendesha semi trailler lile la kuvuta nyuma yeye anaweza kwa umahiri mkubwa, yaani ushawahi kuona semi trailler linakatiza mitaa ya sinza wewe! imagine inapita ya kwake
Duh mtoto washafumua buti la gari hilo duh
nasikia ushungu mie
 
na wewe uko makini na muda.hahaha.badala ya kuwa makini kuangalia dereva anachofanya unaangalia muda.hahaha. nway.. hizi dakika huenda zikamchosha sana kutokana na ugumu wa gari lenyewe. zinatosha kabisa kuweka gia zote sita na gari ikawa imeenda umbali mrefu sana.
Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
 
BB......Semi tellar ni lile linalokaa nyuma eh?

khaaa?...mnnhh!

utamu wa bittle ni size na ile injini kuwa nyuma mazee... haina kelele wala nini, tartiiibu hadi kufika

Lahaula! Beetle na Combi hizo! he he he...Injini nyuma! LOH!

kama gari ni bovu, dereva kukata kona mpaka ang'ate meno coz of usukani mgumu na wenye
kutu, then lazima akatishe safari kwani gari halina ushirikiano.

Shughuli, mpaka mnang'ata na meno? hiyo itakuwa LandRover 109, ...haiwaki mpaka kwa 'hendeli!'
 

Hahahahaaa jamaniiiiiiiiii
 
dah na wale madereva wa meli aka ma CAPTAIN wao wanaendesha meli zao kutokea nyuma ya meli sasa sijui inakuwaje hapo wadau
 
Gari langu jamani linatembelea matairi ya mbele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…