We una nung'unika?
wenzako hata hizo dk42 (total) hawazipati!
we unaendeshwa dk7 unalalama?
ops,unataka masaa mangapi ili ufike kilimanjaro?
Mara nyingi abiria walo ondolewa "kiegemeo" hua hawapati raha ya
safari hata kama utaendesha gari masaa24,...
Usije kua uliondolewa kiegemeo pia enzi hizo
Gari langu jamani linatembelea matairi ya mbele tu
Kiegemeo kipo bwana acha utani
Na viegemeo vingi siku hizi vibaka wanaibammh!wewe kobonde hujui kuwa,
viegemeo vingine hata motor zilishaharibika,
na hasa ukute gari lenyewe linategemea matairi ya mbele tu ili lisimame!!!!!!
Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
Leseni wajipa mwenyewe,inategemea na jinsi utakavyojituma na Kama ukiwa mvivu utajikuta unapataya ya pikipiki. Na wewe unataka kuendesaha gari ndio unajikuta unaanza kuwarm kwa muda mrefu, kwasababu hujui hudanyeje<br />
<br />
Uu udereva wa MAKOJOLEO cjui leseni twazipatia wap?
Mtoa mada nimekupenda
Kusema kweli wachangiaji woote mmeniacha hoi kwa lugha mliyoitumia..Big UP kwa sana.
Labda mwenzetu tuambie ungependa itumike dakika ngapi kuliwarm hilo gari na ngapi kuendesha hadi mwisho wa safari na gari likufikishe mwisho wa safari yako?
Ukiona dereva anajisifia sana kabla ya safari ujue huyo si dereva ni deiwaka tuu hachelei kuleta visingizio safarini na kuliacha gari barabarani!!
Nilifikiri ni mimi tu gari linakuwa warmed mpaka safari inaishia palepale kwa abiria ila dereva yeye aelewi somo mpaka aingie barabarani hapo kama dereva mjanja anaweza kushauri mfatane tu huko aendapoAhsante ; warm up ingekuwa at least 20 na kuendesha 10-15. Hapo nadhani gari litaridhika, kwani ukiwarm sana safari inaishia palepale hivyo linakosa raha ya kwenda barabara ndio maana linaitaji liendeshwe muda Kidogo ili Dereva akikanya brake na gari nayo Inastop
Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
Wewe Kachiki unamatatizo. Baada ya kuwa makini na gari lako we unaangalia mda? huenda ikawa ni opposite kuwa mda alio warm up ulikuwa ni dk 7 na kaendesha dk35. Nafikiri ali warm up kwa dk 7 ukachanganyikiwa na akafanya safari ya dk 35 ukadhani kaendesha kwa dk 7.
Nialike mie nije nihesabu huo mda, nina stop watch ya Kingoni hapa
Nilifikiri ni mimi tu gari linakuwa warmed mpaka safari inaishia palepale kwa abiria ila dereva yeye aelewi somo mpaka aingie barabarani hapo kama dereva mjanja anaweza kushauri mfatane tu huko aendapo