#COVID19 Dereva lori kutoka Kenya akutwa na Coronavirus, visa vya Uganda vyafikia 98

#COVID19 Dereva lori kutoka Kenya akutwa na Coronavirus, visa vya Uganda vyafikia 98

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Wizara ya Afya imesema dereva mmoja amekutwa na maambukizi baada ya sampuli 2,168 za madereva kufanyiwa vipimo.

Dereva huyo ni raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 27 na aliingia Uganda kupitia Busia

Jumla ya sampuli 2,632 zilifanyiwa vipimo Jumanne. 464 kati ya hizo zilikuwa za wananchi wa kawaida na majibu yameonesha hakuna mwenye maambukizi.

Wagonjwa 55 wamepona mpaka sasa na hakuna kifo kilichoripotiwa

======

The number of confirmed Covid-19 cases in the country has risen to 98, after a sample tested positive for the disease on Tuesday.

Ministry of Health confirmed that the sample belongs to a 27- year old truck driver from Kenya who entered the country through the Busia border crossing.

A total of 2,632 samples were tested on Tuesday, out of which 464 samples from the community all tested negative.

So far, the total number of recoveries that have henceforth been discharged still stands at 55. No fatalities have been registered.

Source: Daily Monitor
 
Walijifungia ndani wakati wamepata mshukiwa wa kwanza. Sasa visa vimetapakaa kila sehemu je! watajifungia mpaka lini? ni kweli nchi zetu za afrika mashariki tunaweza lockdown ndani ya miezi 5 mfululizo? yetu macho muda ni mwalimu mzuri wamejifungia kwa kuwaiga wazungu lakini visa bado vinaongezeka na njaa inawamaliza
 
Walijifungia ndani wakati wamepata mshukiwa wa kwanza. Sasa visa vimetapakaa kila sehemu je! watajifungia mpaka lini? ni kweli nchi zetu za afrika mashariki tunaweza lockdown ndani ya miezi 5 mfululizo? yetu macho muda ni mwalimu mzuri wamejifungia kwa kuwaiga wazungu lakini visa bado vinaongezeka na njaa inawamaliza.
Hata hivyo Uganda inawalea wengi wagonjwa wageni ambao wanaoambukiza waganda wenyeji.
 
Back
Top Bottom