johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dereva Daladala alikaidi Amri ya Polisi ya kumtaka asimame na badala yake akakimbilia Kanisa Moja Takatifu la Mitume na kushuka garini huku akiwaacha abiria na kuingia Kanisani.
Polisi nao wakaingia Kanisani wakati Ibada ikiendelea na walipojaribu kuwauliza Waumini hawakupewa ushirikiano wowote.
Hata alipokuja Mkuu wa kituo Waumini walimuomba awaache waendelee na Ibada yao na huyo Mtu aliyeingia humo ameshapata Ukombozi na hawatamtaja kamwe.
Polisi waliamua kuondoka na kusema Mtu huyo amesamehewa Mbinguni na duniani.
Nawaza tu tukio hili lingetokea Tanzania kwa jinsi tulivyo CHAWA lazima wangemtaja sema Wakikuyu wanajitambua 😄
Credit: Citizen TV