Dereva mzoefu natafuta kazi

Madoido

Senior Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
134
Reaction score
15
HABARI YENU WADAU, KHERI YA MWAKA MPYA!

MIMI NI DEREVA MWENYE UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA KUMI, NA NISHAFANYA KAZI KATIKA MASHIRIKA MBALIMBALI.

NI MUHITIMU WA CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT) NA NINA LESENI INAYO NIRUHUSU KUENDESHA MAGARI KAMA IFUATAVYO


A, B, A1, C1,C2,C3,D,E,F na G

Tafadhali kwa mwajiri aliye serious nipigie au sms- - 0719 800 078

ASANTENI

NAPATIKANA KINONDONI DAR ES SALAAM

MR.P
 
Kwa uzoefu wako natumai kazi utapata mkuu, cheki na taasisi za serikali kwani watu wenye uzoefu kama wako ndio wanaohitajika.
 
Me nimependa Id yako 2 mkuu.
 
Ningekuajiri, lkn naogopa utaleta Madoido njiani halafu in fraction of seconds tutakuwa akhera
 
Nenda kaulizie ubalozi wa America niliona tangazo juzi kwenye gazeti wana nafasi 2 za udereva.
 
Nenda ubalozi wa marekani pale getini wanamaform ya ajira ya udereva ,ila wale hawapendi madoido ni kazi tu!
 
Wadau nashukuru sana kwa ushauri wenu, na seems mmependa sana title yangu aka madoido,,,wacha ni hustle ntawapa report,,,thanks

with lots of love to jf and you all
 
Jamani mwenzenu mpaka leo bado hakijaeleweka
 
Madoido yanaweza yakawa yanakuponza. Nenda Kilimanjaro Express peleka CV yako wanaweza wakakushort list mkuu.
 
Jamani mwenzenu mpaka leo bado hakijaeleweka

umejaribu kusoma 'The Guardian' mkuu? Au umepost humu JF na kusubiri wakuite? Hangaika na nafasi zinazotangazwa kwenye magazeti kaka!
 
Wakuu magazeti nimesoma na nimekwisha apply nasikilizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…