DOKEZO Dereva na Konda wa basi la New Force wajeruhi mtu Uyole

DOKEZO Dereva na Konda wa basi la New Force wajeruhi mtu Uyole

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Isenye

Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
97
Reaction score
628
RTO wa Mbeya, Njombe na Iringa tusaidieni kukamata bus la New Force lenye number T EBK 232.

Dereva na kondakta wake wamepiga na kujeruhi mtu hapa Uyole.

Mamlaka husika tusaidieni kwenye hilo.
 
Picha ya kipigo please mkuu
 

Attachments

  • IMG-20250115-WA0008.jpg
    IMG-20250115-WA0008.jpg
    77.1 KB · Views: 2
toa maelezp yaliyoshiba nikusaidie jambo lako haraka iwezekanvyo kabla sijakasrika kijana mpigwaji
 
Back
Top Bottom