Dereva na udereva

Mahrez

Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
17
Reaction score
20
Natumai mko sawa kiafya

Lengo la kuanzisha uzi huu ni kupeana mbinu {njia} tofauti za udereva kama kusomea udereva kutafuta leseni kurenew leseni na ajira za ndani na njee ya nchi na kadhalika
 
kama upo Dar es salaam hakikisha unaenda kwenye ofisi za TAESA wanazo ajira za udereva wanahitajika madereva wengi sana.
  1. uwe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea...!​
  2. uwe na uzoefu kuanzia miaka 5​
  3. uwe na Leseni ya class E​
 
Ni maeneo gani hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…