Dereva Private (Tax Mtandao)

Dereva Private (Tax Mtandao)

Kingcol

Member
Joined
Dec 21, 2021
Posts
5
Reaction score
10
Habari!
Naitwa Ashraf, nina miaka 25, Elimu yangu ni Kidato cha 4, nimesoma VIP pale NIT. natafuta gari ya kufanyia kazi (Tax Mtandao). Nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Nina uzoefu kama Dereva pamoja na uaminifu wa hali juu.

Nina Leseni hai, nimesoma VIP na nina kitambulisho cha taifa (NIDA)
Namba ya simu: 0757364989
Nipo Dar es Salaam
 
Habari, bado unatafuta gari ya Uber. kama ndio basi nichek P.M
 
Back
Top Bottom