Heshima zenu wakuu
ninaomba mnisaidie kwenye hii issue
kuna gari dogo grand mark ii inatakiwa kufanywa tax maana muda mwingi inakuwa imepark sio kwamba mwenyewe kafulia ila siku za kazini ofisini kwao wanamfata na kumrudisha na hana mishe nyingi mjini
je unafata utaratibu gani?
Usiposajili kama tax faida na hasara ni zipi?
Na je utapataje dereva/utaratibu wa kufata kumpa huyo dereva gari ni upi?
Asanteni ma great thinker
elf kumi na tano kwa saa au kwa siku? hiyo ni faida au na mafuta utoe?Shosti, kaa ukijua biashara ya taxi wewe walipwa 15,000?= hata kama dereva katengeneza laki 3.
Mii naona yaumiza moyo, kwani service na matengenezo wayafanya wewe,[
na madereva wengi hawana uchungu na chombo na si watunzaji.Q
KITUNZE KIDUMU wahenga walisema.
elf kumi na tano kwa saa au kwa siku? hiyo ni faida au na mafuta utoe?