Dereva Tax mtandaoni. Natafuta kazi

Dereva Tax mtandaoni. Natafuta kazi

Joined
Jun 16, 2019
Posts
28
Reaction score
14
Baada ya kimya kwa muda mrefu kwa changamoto za hapa na pale za kidunia nina mshukuru mungu kunipambania na kunipa afya njema na kurudi imara.

Wakurugenzi wangu mim ni kijana wa kitanzania ambae makazi yangu ni jiji la Dar es Salaam ombi langu kubwa natafuta gari la kupeleka hesabu kwa boss (tax mtandaoni)

Kwa yoyote alie kuwa yuko tayari basi tuwasiliane kwa kupitia namba
+255748686535 au mohamedhabibu075@gmail.com

ASANTENI NA POLE KWA MAJUKUMU YA HAPA NA PALE
 
Back
Top Bottom