B Ben golden Member Joined May 12, 2025 Posts 21 Reaction score 7 Sep 15, 2026 #1 Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitano Sasa Kwa umakini na uaminifu mkubwa, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kufanyia Bolt. Akaunti ya Bolt ninayo, Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu Binafsi au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitano Sasa Kwa umakini na uaminifu mkubwa, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kufanyia Bolt. Akaunti ya Bolt ninayo, Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu Binafsi au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
Archnemesis 2-0 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2024 Posts 1,564 Reaction score 3,279 Sep 15, 2026 #2 Hesabu gari ya mkataba na kawaida sh ngap Kwan wiki sahv Mkuu na kazi zinaenda fresh?
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,978 Reaction score 12,641 Sep 15, 2026 #3 Unaweza kuendesha FAW