Dereva wa Bobi Wine apigwa risasi na kufa papo hapo akiwa kwenye gari

Dereva wa Bobi Wine apigwa risasi na kufa papo hapo akiwa kwenye gari

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Dereva wa MP Sentamu Kyagulani Robert aka Bobi Wine ameuawa akiwa ndani ya gari huko Arua.

Tukio hilo limetokea wakati viongozi wa upinzani wakiwa kwenye kampeni wakimsapoti mgombea huru Kassiano Wadri anayegombea ubunge wa Arua baada ya Mbunge Ibrahim Abiriga kuuawa kwa risasi.

1802082.jpg


Bobbi Wine amewatuhumu Askari Polisi kuhusika na kifo hicho.


=======
Ugandan MP Robert Kyagulanyi, commonly known as Bobi Wine, has reported that his driver was shot dead by police inside his car.

The Kyadondo East legislator said in a tweet that they were in Arua for campaigns at the time of the shooting.

A by-election is expected to be conducted in the area on Wednesday in the race to replace slain MP Ibrahim Abiriga.
Bobi Wine and a number of opposition leaders were there to rally support for Independent candidate Kassiano Wadri.

The rallies went on smoothly throughout the day before police started clashing with Wadri’s supporters.

The latter were reportedly battling supporters of the NRM candidate Tiperu Nusura.

Bobi Wine further states that his hotel has been cordoned off by the police following the incidents.

Source: Bobi Wine's driver shot dead, hotel cordoned off by police
 
There is something going to happen in Tz if not Uganda. Nukta
 
Aiseeee....[emoji53] [emoji45] [emoji15]
 
Ndo maana nasema huku kwetu ni movie la kidosi japokuwa wenyewe wanajihami kwa matusi ila scene haina uhalisia.
 
Polisi walidhani ni Bobi Wine wakapiga ili afe kumbe ni dereva! Yale yale yale yale! ya Lisu

https://www.JamiiForums.com.com/ind...nking-it-was-him-bw.84795/page-2#post-1780182
 
Siyasa ni Maisha,Ila ukiifwatilia kwa nchi za kiafrika na ukiwa mpinzani ni zaidi ya Maumivu.

Nahisi wana MUNGU wao ,Utawaona wanamtaja na kuingia Nyumba za Ibada.

Mm siasa Hapana hapana nimechoka
 
Haya yanatokea Afrika tuuu
yes /No majirani wetu wa hapo Botswana,Namibia,ushelisheli,Mauritius haya mambo hamna ndio maana hizi nchi ni kioo cha kujiangalia ili nasi tujitambue,and keep in mind nchi hizi Tanzania tumetoa mchango mkubwa wa kuziwezesha,(tulishiriki kuzima jaribio la mapinduzi pale ushelisheli,Swapo tuliwafadhili sana,Botswana tuna wataalam wetu wengi sana pale chuo chao kikuu na hospital yao ya rufaa)tuendelee kusubiri meli yetu ya Noah pale KIA.
 
yes /No majirani wetu wa hapo Botswana,Namibia,ushelisheli,Mauritius haya mambo hamna ndio maana hizi nchi ni kioo cha kujiangalia ili nasi tujitambue,and keep in mind nchi hizi Tanzania tumetoa mchango mkubwa wa kuziwezesha,(tulishiriki kuzima jaribio la mapinduzi pale ushelisheli,Swapo tuliwafadhili sana,Botswana tuna wataalam wetu wengi sana pale chuo chao kikuu na hospital yao ya rufaa)tuendelee kusubiri meli yetu ya Noah pale KIA.
Wa tanzania tumebakiza stori tu mara tulisaidia Botsawana Namimbia, tulizima mapinduzi nk..... hari yetu inadidimia kila siku, unchumi uko hoi watu wanakula mlo mmoja, Uhuru wa siasa ni kujitoa mhanga, Elimu ni duni, demokurasia niyamtu mmoja, diplomasia Jk kaondoka nao......tumebaki na stori tu za enzi za nyerere........tupunguze maneno tupambane ili tubadilike
 
Kwa hiyo wanafyatua bila kuangalia?huo ndio uoga wenyewe!otherwise iwe walikuwa wanatuma msg kwa boby.
Nadhani wazungu watafanya mchakato wa usambazaji wa silaha Africa ili kuondoa upuuzi wa viongozi waafrika. Maana silaha zikitapakaaa heshima inakuwepo. Wazungu wengi wanamiliki bunduki ndio Maana wanaogopana kuzinguana, Maana ukimzingua MTU anakupiga na bunduki. Sasa izi nchi zetu watu wengi hawana silaha matokeo yake askari wanaonea watu
 
Huyu dogo anawapa shida sana mara waliwahi rusha bomu nyumbani kwake yani ni hatari tupu
 
Hivi savimbi alifanyajefanyaje mpaka akajificha kwenye kale kaeneo akakamiliki kabla hawajamuwahi??
 
Back
Top Bottom