Dereva wa Bolt natafuta kazi

Dereva wa Bolt natafuta kazi

cali munene

New Member
Joined
Aug 24, 2022
Posts
3
Reaction score
2
Habari, naitwa Daniel ni dereva mwenye uzoefu na leseni iliyohai. Natafuta gari kwaajili ya biashara ya tax mtandao kama bolt, uber, inDrive nk. Gari iwe ya hesabu za kila wiki au mkataba naweza fanyia kazi.

Tunaweza wasiliana muda wowote kwa namba 0782427688.

Ahsante
 
Umeshapata gari,,,kama bado tuwasiliane watsap
 
Back
Top Bottom