Dereva wa Ikulu akamatwa na Polisi kwa kuvunja Sheria za Barabarani

Dereva wa Ikulu akamatwa na Polisi kwa kuvunja Sheria za Barabarani

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Polisi trafiki Mjini Kampala asubuhi ya leo Jumatatu 30-may 2022 wamemkamata dereva wa Ikulu baada ya kudaiwa kujaribu kupiga U-turn katika lango la shule ya Msingi ya Aga Khan na kuwatisha maafisa waliojaribu kumzuia.

"Tunaanzisha vita dhidi ya magari ya Serikali sasa hivi pamoja na bodaboda ambao hawaadhibu," Kamishna wa udhibiti na usalama wa Uchukuzi, Bw Winstone Katushabe alisema.

"Nimemuita Afisa Uchukuzi Ofisi ya Rais kwa hatua niliyochukua na dereva lazima achukuliwe hatua za kisheria, jinsi gari litakavyoondolewa, hiyo sio kazi yangu. Hili la kuadhibiwa kwa wahuni wa aina hii lazima liangaliwe," Katushabe aliongeza.


IMG_7261.jpg

IMG_7263.jpg

IMG_7262.jpg
 
Dereva ana Kitambi hivyo?? Kaipata wapi hiyo pesa ya kutengeneza kitambi chote hicho?
 
Back
Top Bottom