Dereva wa kibongo na demu wa kikamba

Kamaka

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Posts
563
Reaction score
33
dereva mmoja mbongo wa magari ya masafa mara baada ya kufika namanga mpakani na nchi jirani ya kenya, alipata hamu ya kujiliwaza na mamsap wa kikamba

wakati wakiwa kwenye kisiwa cha malavidavi

jamaa aliaa nza kulalamika huku akiwa amebana pua

ikabidi demu amuulize kulikoni????????

Jamaa akajibu harufu imezidi!!!!!!!!

Demu kwa hamaki akamjibu

"alupu, alupu ndio nini"??"

" mbona njoroge alikuwa hapa saa hii hii na hakuisikia hiyo alupu!!!!!!!!!!
 
sasa hii ni jokes au,maana sijaelewa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…