Nini laki tano? Mie sibebi zaidi ya laki mbili za Kitanzani naposafiri. Najua kuna mpesa kila mjiHope hizo ni K.Shs; equivalent to 3,000,000 x 22 = T.Shs. 66,000,000. Huyo dereva na kundi lake ni wapumbavu. Kwanini ubebe kiroba cha 66/- m. ndani ya lori? Binafsi hata laki 5 Tshs sibebi cash. Dunia inaelekea e-payments halafu wao wanatuletea zama za kale!
Mpuuzi sana anarudisha enzi za TANU +KANUHope hizo ni K.Shs; equivalent to 3,000,000 x 22 = T.Shs. 66,000,000. Huyo dereva na kundi lake ni wapumbavu. Kwanini ubebe kiroba cha 66/- m. ndani ya lori? Binafsi hata laki 5 Tshs sibebi cash. Dunia inaelekea e-payments halafu wao wanatuletea zama za kale!
Unajidhalilisha...Hugo ni jizi Chadema
Hope hizo ni K.Shs; equivalent to 3,000,000 x 22 = T.Shs. 66,000,000. Huyo dereva na kundi lake ni wapumbavu. Kwanini ubebe kiroba cha 66/- m. ndani ya lori? Binafsi hata laki 5 Tshs sibebi cash. Dunia inaelekea e-payments halafu wao wanatuletea zama za kale!
Hili ni swali la msingi kabisa maana kama ilikua inatembea ingeanguka na kama ilisimama ilikuaje .Kwahiyo alipowapa hiyo dawa gari ilikuwa inatembea au ilikuwa imesimama.
It depends cause sirari border, namanga border and Muhuru border have different rates.Note. 1KSh ~19 Tzs sio 22 Tzs
Walikuwa wanakula mzigo. angekuwa mwanaume asingepewa lift... stuka binamu...Hili ni swali la msingi kabisa maana kama ilikua inatembea ingeanguka na kama ilisimama ilijuaje.
Wakati wanapewa dawa walikuwa wamelala na kunsinzia ama ilikua kuaje? Sijaelewa vizuri hapo.
Hahahaaaaa AsprinWalikuwa wanakula mzigo. angekuwa mwanaume asingepewa lift... stuka binamu...
Hapa hazungumziwi mtu tu, bali mtu wa jinsia ya kike. Hakuna ugonjwa mbaya unaowasumbua madereva wa malori kama Kei. Wanazipenda Kei kuliko wenye kei zao wanavozipenda.Lifti siku hizi hazitolewi hovyo hovyo kwa mtu usiyemjua!!
Haiwezekani mkuu.. yaani mtu apende kiungo cha mwenzake kuliko chake..!?Hapa hazungumziwi mtu tu, bali mtu wa jinsia ya kike. Hakuna ugonjwa mbaya unaowasumbua madereva wa malori kama Kei. Wanazipenda Kei kuliko wenye kei zao wanavozipenda.
Kile ni kiungo kwa mwanamke kiongozi, kwa mwanaume hakiitwi kiungo bali kiungopendwaHaiwezekani mkuu.. yaani mtu apende kiungo cha mwenzake kuliko chake..!?