Dereva wa Mashua/Vivuko Daraja la II Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Dereva wa Mashua/Vivuko Daraja la II Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
4,876
Reaction score
1,549
POST: DEREVA WA MASHUA/VIVUKO DARAJA LA II – 1 POST
POST CATEGORY(S): TRANSPORT AND LOGISTICS
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe
APPLICATION TIMELINE: 2021-05-07 2021-05-19
JOB SUMMARY NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  • Kufunga na kufungua kamba za mashua/kivuko
  • Kuchunga usalama wa abiria na magari yaliyomo ndani ya mashua/vivuko
  • Kupanga abiria au magari kwenye mashua/vivuko
  • Kuendesha na kuongoza mashua/vivuko
  • Kutunza daftari za safari ya mashua/vivuko
  • Kuhakikisha kwamba injini za vivuko zipo katika hali nzuri ya kufanya kazi; na
  • Kuangalia mafuta na vyombo vingine vya kufanyia kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE: Kuajiriwa Waliohitimu Mtihani wa Kidato cha Nne, wenye ujunzi wa kuendesha na kutunza mashua/vivuko uliothibitishwa na Chuo cha Dar es salaam Marine Institute au Chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali kwa muda usiopungua miaka miwili; na waliofuzu mafunzo ya miezi sita ya uokoaji wa maisha majini, kuogelea na kupanga watu na magari kwenye mashua/vivuko.

REMUNERATION TGOS A.

The deadline for submitting the application is 19 May 2021

CLICK HERE TO APPLY
 
Back
Top Bottom