Dereva wa Osama Bin Laden Ahukumiwa miezi sita jela!

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,329
Reaction score
25,263
Taarifa ni kwamba dereva wa Bina laden amehukumiwa kwenda jela miaka mitano na nusu na kwasababu alishakaa Guantanamo Bay huko Cuba kwa miaka mitano...Basi anakuwa amebakiza kifungo cha miezi sita tu....Haijajulikana kama atakwenda nchi gani mara baada ya kutumikia kifungo chake hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…