Dereva wa taxi ajitoa muhanga na kuwaingiza abiria Alshabaab kituo cha polisi moja kwa moja

This guy must be rewarded for his efforts.

Mbona unajiharibia CV na kukana asili yako, ama haujui Unyarwanda una sifa kuzidi Bongo, Magufuli mwenyewe alishakiri kuwategemea Wanyarwanda TRA....hehehe
Wewe kula kwa hilo shamba la bibi la Kambarage ila kumbuka home, usimkane mkulu wako Kagame.
 
Mimi sio mnyaru bhana bt eee unajua mmh...mama eee kidogo ....eee ndio...RAIA WA hapo nani....apo Bulgaria na nilizaliwa Bulgaria so Mimi no RAIA WA yugoslavia
Mbona unajiharibia CV na kukana asili yako, ama haujui Unyarwanda una sifa kuzidi Bongo, Magufuli mwenyewe alishakiri kuwategemea Wanyarwanda TRA....hehehe
Wewe kula kwa hilo shamba la bibi la Kambarage ila kumbuka home, usimkane mkulu wako Kagame.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…