Nehemia Elias New Member Joined May 1, 2014 Posts 1 Reaction score 7 Nov 18, 2024 #1 Habari za kazi, Natafuta gari ya kufanyia tax mtandao(Uber & Bolt), nina uzoefu wa kuendesha tax mtandao zaidi ya miaka minne, naishi kongowe mzinga kilwa road, nipo tayari kufanya kazi kwa bidii na maarifa. Mawasiliano 0769235120
Habari za kazi, Natafuta gari ya kufanyia tax mtandao(Uber & Bolt), nina uzoefu wa kuendesha tax mtandao zaidi ya miaka minne, naishi kongowe mzinga kilwa road, nipo tayari kufanya kazi kwa bidii na maarifa. Mawasiliano 0769235120
Paul dybala JF-Expert Member Joined Jul 30, 2023 Posts 524 Reaction score 2,097 Nov 18, 2024 #2 Ukipata mbili ...nishtue moja
Rhumba Member Joined Sep 26, 2018 Posts 7 Reaction score 7 Jan 3, 2025 #3 Una account za uber & bolt?