Captain wa train hawezi kuwa mwenyewe. Lazima kuna crew ya watoa huduma, kuna engineers (mafundi) n.kKwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo sintofahamu ikawa 'solved' na safari kuendelea.Sasa wadau nauliza dereva wa treni hupataje taarifa kama kuna hatari na yeye huwa mbali na mabehewa na anakuwa peke yake.
Nimekupata ni kwamba abiria walikuwa wanataka kutoka nje ya treni na wengine kuruka.Sijataja tukio kwa uwazi kwa sababu sijui linaweza likawa na mgongano fulani labda.Dharura ya abiria kutaka kutoka nje zaidi ya msalani ni dharura gani tena? Treni si zina vyoo mumo kwa mumo?
Kuna wale wahudumu wa ndani, wanawasiliana inapotokea chochote. Lakini kikubwa itakua kuna namna ya mawasiliano kati ya dereva na wafanyakazi wengine wakati wa safari.
Nimevutiwa kujua hiyo ilikua dharura ya aina gani iliyolazimu treni kusimama?
Inaonekana liliibuka Joka ndani ya treni...Dharura ya abiria kutaka kutoka nje zaidi ya msalani ni dharura gani tena? Treni si zina vyoo mumo kwa mumo?
Kuna wale wahudumu wa ndani, wanawasiliana inapotokea chochote. Lakini kikubwa itakua kuna namna ya mawasiliano kati ya dereva na wafanyakazi wengine wakati wa safari.
Nimevutiwa kujua hiyo ilikua dharura ya aina gani iliyolazimu treni kusimama?
Ningeweka wazi tukio lakni sijui labda linaweza likawa na mgongano na taasisi husika.Dharura ndani ya treni hebu tuambie zaidi imekaaje
Hapa tunaongea kwa uwazi hivyo hivyo Jina lako hapa halipo hakuna atakaye kujudgeHili
Ningeweka wazi tukio lakni sijui labda linaweza likawa na mgongano na taasisi husika.
Basi potezea. Nenda kapige story na demu wako.Hili
Ningeweka wazi tukio lakni sijui labda linaweza likawa na mgongano na taasisi husika.
Unaogopa kusema palizuka moto au aliingia shetan[emoji16][emoji23]Hili
Ningeweka wazi tukio lakni sijui labda linaweza likawa na mgongano na taasisi husika.
Unaogopa kusema palizuka moto au aliingia shetan[emoji16][emoji23]
Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo sintofahamu ikawa 'solved' na safari kuendelea.Sasa wadau nauliza dereva wa treni hupataje taarifa kama kuna hatari na yeye huwa mbali na mabehewa na anakuwa peke yake.